Rafiki
Jinsi ya Kuagiza Nakala Zaidi
Ubatizo na Uthibitisho


“Jinsi ya Kuagiza Nakala Zaidi,” Rafiki, Agosti 2023, jalada la nyuma.

Jinsi ya Kuagiza Nakala Zaidi

Toleo hili mahususi la ubatizo ni kwa watoto wote, hasa wale wanaojiandaa kubatizwa. Unaweza kuagiza nakala kwa ajili ya mtoto yeyote, ikijumuisha wale walio katika familia yako au Msingi.

  1. Agiza nakala kwa ajili ya kata yako au tawi lako ukitumia fomu ya kuagiza mtaala wa mwaka.

  2. Agiza nakala kwa watu binafsi katika store.ChurchofJesusChrist.org.

  3. Nunua nakala binafsi katika Kituo chako cha Usambazaji cha eneo au kwa kuwasiliana na Kitengo cha Huduma cha Ulimwengu.

Unaweza pia kupakua toleo linaloweza kupakulika kwa urahisi la “My Baptism and Confirmation” (uk. 16) katika friend.ChurchofJesusChrist.org.