“Hubiri la Jayden,” Rafiki, Agosti 2023, 34–35.
Hubiri la Jayden
Hadithi hii ilitokea huko Hong Kong.
Picha
alt text
Picha
alt text
Jayden, Jumapili ijayo utatoa hubiri kuhusu sakramenti?
Ndiyo!
Picha
alt text
Wiki inayofuata …
Usisahau kuandika hubiri lako. Je, unataka nikusaidie?
La Hasha. “Ninataka kuifanya mimi mwenyewe!
Picha
alt text
Picha
alt text
Picha
alt text
Picha
alt text
Picha
alt text
Nina wasiwasi.
“Ni SAWA. Baba wa Mbinguni atakusaidia.
Picha
alt text
Picha
alt text
Baba wa Mbinguni, tafadhali nisaidie nisihisi uoga wakati wa hubiri langu.
Picha
alt text
Nampenda Yesu Kristo. Ninapopokea sakramenti, ninaketi kimya na kumfikiria Yeye.
Picha
alt text
Umefanya kazi nzuri kwenye hubiri lako.
Nilikuwa ninaogopa, Baba wa Mbinguni alinisaidia.
Picha
alt text here
Vielelezo na Dani Jones