“Karibu Kanisani!” Rafiki, Agosti 2023, 38–38.
Karibu Kanisani!
Picha
alt text
Mambo! Sisi ni Margo na Paolo.
“Ungependa kuja kanisani pamoja na sisi?
Picha
alt text
Tutakuonyesha vile ilivyo.
Na vitu vyote unavyoweza kufanya!
Picha
alt text
Kanisani, unaweza kupokea sakramenti.
Picha
alt text
Unaweza kufikiria kuhusu Yesu Kristo na kile Yeye alichofanya kwa ajili yako.
Picha
alt text
Unaweza kujifunza kuhusu injili.
Picha
alt text
Mnaweza kusali pamoja.
Picha
alt text
Unaweza kuuliza maswali.
Picha
alt text
Unaweza kuimba nyimbo.
Picha
alt text
Unaweza kushiriki kile unachohisi au kujua ni cha kweli.
Picha
alt text
Unaweza kupata marafiki wapya na kuwasaidia wengine wahisi kukaribishwa.
Picha
alt text
Unaweza kuhisi kuwa karibu na Yesu Kristo.
Picha
alt text
Unaweza kuwaalika wengine wajifunze zaidi kumhusu Yeye pia.
Picha
alt text here
Vielelezo na Katie McDee