Rafiki
Kutembea katika Njia ya Agano
Ubatizo na Uthibitisho


“Kutembea katika Njia ya Agano,” Rafiki, Agosti 2023, 6–7.

Kutembea katika Njia ya Agano

Picha
Alt text

Vielelezo na Brooke Smart

Baba wa Mbinguni alikutuma wewe ulimwenguni ili ujifunze na ukue ili uwe kama Yeye. Unapomfuata Yesu Kristo, unatembea katika njia ya kurudi nyumbani kwako mbinguni. Hii inaitwa njia ya agano. Fuatilia na upake rangi picha hizi ili kujifunza zaidi.

  • Kujifunza kuhusu Yesu Kristo na kumfuata Yeye.

  • Kubatizwa na kuthibitishwa kuwa muumini wa Kanisa Lake

  • Saidia na hudumu

  • Msikilize Roho Mtakatifu

  • Sali

  • Soma maandiko

  • Pokea Sakramenti

  • Fanya ubatizo wa hekaluni

  • Pokea maagano mengine na baraka za hekaluni

  • Kuipenda na kuitumikia familia yangu

  • Tubu

  • Kumfuata Yesu maisha yangu yote!