Rafiki
Kupokea Sakramenti
Ubatizo na Uthibitisho


“Kupokea Sakramenti,” Rafiki, Agosti 2023, 33.

Kupokea Sakramenti

Picha
alt text here

Vielelezo na Barbara Bongini

Kila wiki, tunapokea sakramenti. Inatusaidia tumkumbuke Yesu Kristo na ahadi ya kumfuata Yeye.

Kabla ya kupokea sakramenti, mimi ninaweza …

  • Kuimba wimbo wa dini

  • Kutazama mkate na maji vikiandaliwa

  • Kusikiliza sala za sakramenti

Wakati wa sakramenti, ninaweza …

  • Kupokea mkate na maji kwa staha

  • Kufikiria kuhusu kile Yesu alchokifanya kwa ajili yangu na kiasi gani Yeye ananipenda

  • Kukumbuka agano langu la ubatizo

Baada ya sakramenti, ninaweza kumkumbuka na kumfuata Yesu wiki yote kwa . . .

  • Kushika Amri Zake

  • Kuwa mkarimu kwa wengine

  • Kufuata msukumo kutoka kwa Roho Mtakatifu

  • Kujiuliza mwenyewe, “Je, Yesu angefanya nini?”