Rafiki
Mchezo wa Kuokoteza Kanisani
Ubatizo na Uthibitisho


“Mchezo wa Kuokoteza Kanisa,” Rafiki, Agosti 2023, 32.

Mchezo wa Kuokoteza Kanisani

Picha
alt text here

Vielelezo na Dave Klüg

Kanisa ni mahali ambapo unaweza kujifunza, kupata burudani, na kuwasaidia wengine. Angalia ni vitu vingapi kwenye orodha hii unavyoweza kufanya!

  • Salimiana na askofu wako au rais wako wa tawi

  • Saidia kupanga viti au kuondoa taka

  • Jifunze wimbo wa dini au wimbo wa Msingi

  • Jitolee kusaidia katika Msingi

  • Sikiliza mahubiri wakati wa mkutano wa sakramenti

  • Jifunze jina la mtu katika Msingi

  • Shiriki maandiko na mtu

  • Mshukuru mwalimu wako wa Msingi

  • Wasikilize wengine wanapozungumza

  • Jibu swali darasani

  • Mwombe kiongozi wako wa Msingi nakala ya Kitabu cha Mwongozo cha Watoto

  • Zungumza na mtu ambaye ni mgeni