Rafiki
Gazeti Kwa ajili Yako Hasa!
Ubatizo na Uthibitisho


Gazeti Kwa ajili Yako Hasa! Rafiki, Agosti 2023, 48.

Gazeti Kwa ajili Yako Hasa!

Picha
alt text

Unaweza kupata gazeti la Rafiki ili likusaidie kuwa na burudani, kumfuata Yesu Kristo, na kukutana na watoto duniani kote ambao pia wanamfuata Yeye! Hapa ni jinsi ya kuagiza:

Muombe mzazi wako au Rais wa Msingi aagize kwa ajili yako katika magazinesubscriptions.ChurchofJesusChrist.org.

Unaweza pia kutembelea Rafiki katika friend.ChurchofJesusChrist.org!

Picha
alt text here

Kielelezo na Mark Robison