Rafiki
Kukua Karibu na Baba wa Mbinguni
Ubatizo na Uthibitisho


“Kusimama Imara,” Rafiki, Agosti 2023, 25.

Kusimama Imara

Picha
alt text

Mizizi ya mti ni muhimu sana. Inauweka mti kusimama Imara, hata wakati wa upepo na dhoruba.

Kwenye mizizi ya mti huu, andika vitu unavyoweza kufanya kumwalika Roho Mtakatifu katika maisha yako na kukaa karibu na Baba wa Mbinguni. Kisha wewe pia unaweza kusimama imara.