“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa na Shukrani kwa ajili ya Mwili Wangu,” Rafiki, Machi 2024, 44–45.
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa na Shukrani kwa ajili ya Mwili Wangu
Mwili wangu ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Picha
alt text
Ninaweza kufanya mambo mengi ya ajabu!
Picha
alt text
Kwa vile mwili wangu ni zawadi, ninataka kuutunza vyema.
Picha
alt text
Wakati ninautunza mwili wangu, roho yangu inakuwa na furaha pia!
Wakati wa Shughuli
Picha
alt text
Unaweza kuusaidia mwili wako ukue kwa kula vyakula vyenye afya! Tazama kila mpangilio. Ni rangi ipi ya mboga inafuatia?