Rafiki
Kwa nini Tunasherehekea Pasaka?
Machi 2024


Kwa nini Tunasherehekea Pasaka? Rafiki, Machi 2024, 16.

Majibu kutoka kwa Mtume

Kwa nini Tunasherehekea Pasaka?

Imetoholewa kutoka “Tazama Mwanadamu!” (Liahona, Mei 2018, 107–110).

Picha
Alt text

Kielelezo na Brooke Smart

Jumapili ya Pasaka ni siku takatifu.

Ni siku ya kukumbuka dhabihu na Ufufuko wa Yesu Kristo.

Yesu aliutoa uhai wake ili tuweze kutubu na kusamehewa.

Kwa sababu ya Yesu Kristo, tunaweza kuishi na Mungu tena.