“Margo na Paolo,” Rafiki, Machi 2024, 34.
Margo na Paolo
Bibi, wewe una umri gani?
Miaka 186!
Picha
alt text
Nini?! Hauwezi kuwa mzee hivyo.
Ni utani tu! Lakini mimi bado ni mzee. Je, unajua kwa nini nimeweza kuishi kwa muda mrefu hivi?
Picha
alt text
Kivipi?
Picha
alt text
Kwa sababu daima ninakula mboga zangu!
Picha
alt text
Kwani kula mboga kweli kunakufanya uishi muda mrefu zaidi?
Husaidia! Wakati tunaitunza miili yetu, Mungu hutubariki kwa uwezo na nguvu.
Picha
alt text
Nadhani mchuzi uko yatari! Unanukia vizuri.
Picha
alt text
Muda wa jaribio la kuonja!
Je, tumefaulu mtihani?
Picha
alt text
Ndiyo! Ni mtamu sana.” Na unaleta afya pia.
Picha
alt text
Labda siku moja mimi nitaishi kufika miaka 186.
Basi ni vyema ukala mboga zako!