Rafiki
Kadi za Mahekalu
Machi 2024


“Kibali cha Hekaluni ni nini? Rafiki, Machi 2024, 22.

Kadi za Mahekalu

Kibali cha Hekaluni ni nini?

Picha
PDF ya hadithi

Vielelezo na Rachel Erickson

Katika mwaka unapofikisha miaka 12, unaweza kukutana na askofu wako au rais wako wa tawi kwa ajili ya usaili wa hekaluni. Kama wote mnahisi kuwa tayari na kustahili, yeye atakupatia wewe kibali cha hekaluni. Kipande hiki cha karatasi huonesha kwamba wewe u tayari kuingia ndani ya hekalu.

Hekalu la Port Moresby Papua New Guinea

  • Hili litakuwa hekalu la kwanza huko Papua New Guinea.

  • Mpaka litakapofunguliwa, waumini inawabidi wasafiri kwa ndege ili kutembelea hekalu mbali sana.

  • Watu katika Papua New Guinea walisherehekea na kulia kwa shangwe wakati hekalu lilipotangazwa.

Hekalu la Montevideo Uruguay

  • Hili lilikuwa hekalu la kwanza kujengwa huko Uruguay.

  • Lilikuwa hekalu la kwanza kuwekwa wakfu baada ya mwaka 2000.

  • Zaidi ya watu 24,000 walitembelea ufunguzi wa hekalu!