Rafiki
Miraba ya Mkutano
Machi 2024


“Miraba ya Mkutano,” Rafiki, Machi 2024, 12.

Kitu cha kuburudisha

Miraba ya Mkutano

Picha
PDF ya hadithi

Vielelezo na Bryan Beach

Mkutano mkuu upo mwezi ujao! Hapa kuna shughuli ya kufanya wakati unasikiliza. Wakati mnenaji anazungumza kuhusu mojawapo ya mada, funika mraba kwa kitu kidogo. Jaribu kufunika minne katika safu. Kisha jaribu kufunika miraba yote!

  • Ubatizo

  • Amri

  • Imani

  • Familia

  • Furaha

  • Nafasi ya Wazi

  • Upendo

  • Wamisionari

  • Sala

  • Ukuhani

  • Manabii

  • Sakramenti

  • Ufufuo

  • Maandiko

  • Huduma

  • Mahekalu

Pata miraba 4 katika safu na useme, “Mkutano Mkuu!”