Rafiki
Unganisha Maandiko
Januari 2024


“Unganisha Maandiko,” Rafiki, Jan. 2024, 39.

Kitu cha kuburudisha

Unganisha Maandiko

Picha
PDF ya hadithi

Ni vizuri kwa kiasi gani unaijua hadithi ya Nefi na mabamba ya shaba? Zipe namba sensenti hapa chini katika mpangilio wa jinsi zinavyotokea kwenye hadithi. Kisha tafuta rangi zinazoendana na zipe nukta namba. Chora mistari kutoka nukta hadi nukta katika mpangilio wa namba ili kukamilisha picha. (Ona 1 Nefi 3 na 4 kwa usaidizi.)

  • Lehi anawaambia Nefi na kaka zake kufuata mabamba kutoka kwa Labani.

  • Labani anasema hatompa Lamani mabamba ya shaba.

  • Lamani anamwomba Labani mabamba.

  • Zoramu anachagua kwenda na familia ya Nefi nyikani.

  • Labani anachukua dhahabu lakini hatoi mabamba ya shaba.

  • Nefi, kaka zake, na Zoramu wanarejea kwa Lehi na Saria wakiwa na mabamba.

  • Nefi na kaka zake wanampa Labani dhahabu ili wapate mabamba.

  • Bwana anamwamuru Nefi amuue Labani na achukue mabamba.

  • Roho Mtakatifu anamwongoza Nefi kwenye nyumba ya Labani.