Rafiki
Mnyororo wa Marafiki
Januari 2024


“Mnyororo wa Marafiki,” Rafiki, Jan. 2024, 33.

Kitu cha kuburudisha

Mnyororo wa Marafiki

  1. Kata na uondoe sehemu nyeupe upande wa kulia. Au chora mtu kwenye karatasi nyingine ili ukate.

  2. Kunja kufuata mstari kwenda nyuma na mbele kama vile pangaboi.

  3. Kata na uondoe mistari iliyokunjwa ya mipaka ya mtu.

  4. Ifungue ili kuona mnyororo wa marafiki wakiwa wameshikana mikono! Wapambe waonekane kama watu unaowapenda.

Picha
PDF ya hadithi

Vielelezo na Jared Beckstrand