“Margo na Paolo,” Rafiki, Jan. 2024, 34.
Margo na Paolo
Wapendwa Matt na Mandy,
Imekuwa mwaka mmoja tangu turudi Brazil!
Picha
alt text
Mambo mazuri mengi yametokea.
Picha
alt text
Tumepata marafiki wapya.
Picha
alt text
Na tumefanya mambo magumu!
Picha
alt text
Na zaidi ya yote, tulijaribu kuwa kama Yesu. Mwaka huu, tunataka kuwa hata zaidi kama Yeye!
Picha
alt text
Je, mna malengo yoyote kwa mwaka huu? Tuambieni kuhusu malengo hayo!
Rafiki zenu, Margo na Paolo