Rafiki
Kumfuata Yesu Pamoja
Januari 2024


“Kumfuata Yesu Pamoja,” Rafiki, Jan. 2024, 20–21.

Kumfuata Yesu Pamoja

Picha
alt text

Willow R., umri miaka 7, Queensland, Australia

Picha
alt text

Tyrone M., umri miaka 11, Mashonaland, Zimbabwe

Picha
alt text

Clayton na Thea F., umri miaka 8 na 4, Texas, Marekani

Picha
alt text

Davide P., umri miaka 8, Emilia-Romagna, Italia

Picha
alt text

Andrew Z., umri miaka 9, Alberta, Kanada

Picha
alt text

Nayaweza mambo yote katika Yesu Kristo!

Brieanna J., umri miaka 9, South Carolina, Marekani

Picha
alt text

Ninapenda kushiriki ushuhuda wangu kanisani kwenye Jumapili ya mfungo. Inanifanya nihisi vizuri moyoni. Ninajua inasaidia ushuhuda wangu ukue.

Ruby B., umri miaka 10, Massachusetts, Marekani

Picha
alt text

Mimi na rafiki zangu hupenda kuoka asusa na kuwapa jirani zetu. Tunaacha ujumbe mfupi wa kuwapa furaha. Kisha tunabonyeza kengele ya mlangoni na kukimbia haraka!

Alexis M., umri miaka 10, Maryland, Marekani

Picha
alt text

Kaka yangu alianguka kutoka kwenye bembea na akaanza kulia. Nilimsaidia asimame. Tulikwenda kununua barafu na tukaketi juu ya dawati ili tuzile pamoja. Ninahisi furaha ninapowasaidia wengine.

Ethan M., umri miaka 8, Coahuila, Marekani

Picha
alt text

Nilialikwa kwenye sherehe ya bwawani siku ya Jumapili, lakini nilichagua kutokwenda. Nilihisi vizuri kwa sababu nilikuwa ninaitakasa siku ya Sabato.

Dez Z., umri miaka 11, Texas, Marekani

Picha
alt text

Niligonga kichwa changu na kuumiza jicho langu. Nilimwomba dada yangu asali kwa ajili yangu na nilihisi utulivu baada ya sala. Ninajua sala ni zawadi kutoka kwa Baba wa Mbinguni.

Lydie O., umri miaka 6, Fort-de-France, Martinique

Picha
alt text

Familia yangu inapenda kutembelea maeneo maalumu Mungu aliyoyaumba jirani na nyumbani kwetu!

Flor R., umri miaka 9, Mendoza, Ajentina