Rafiki
Ni jinsi gani Roho Mtakatifu Hunisaidia?
Januari 2024


“Ni jinsi gani Roho Mtakatifu Hunisaidia?” Rafiki, Jan. 2024, 16.

Majibu kutoka kwa Mtume

Ni jinsi gani Roho Mtakatifu Hunisaidia?

Imetoholewa kutoka “How to Tune in to the Holy Ghost,” New Era, Aug. 2015, 48; “Pure Testimony,” Liahona, Nov. 2004, 40–43; na “Finding Joy Through Loving Service,” Liahona, Mei 2011, 46–49.

Picha
alt text

Kielelezo na Brooke Smart

Roho Mtakatifu anaweza kukufariji na kukujaza amani.

Anaweza kukuonya kuhusu hatari.

Anaweza kukufundisha kile kilicho kweli.

Anaweza kukuongoza uchague mema.