Rafiki
Familia ya Lehi
Januari 2024


“Familia ya Lehi,” Rafiki, Jan. 2024, 23.

Kitafute ya Kitabu cha Mormoni

Familia ya Lehi

Picha
Alt text

Vielelezo na Suzy Gerhart

Bwana alimwamuru Lehi katika ono aondoke Yerusalemu pamoja na familia yake na wasafiri nyikani (ona 1 Nefi 2:2). Baadaye, familia ya Ishmaeli waliungana nao! Je, unaweza kuvipata vitu vyote vilivyofichwa kwenye picha hapa chini?