Rafiki
Sehemu ya Marafiki Wadogo
Januari 2024


“Sehemu ya Marafiki Wadogo,” Rafiki, Jan. 2024, 43.

Sehemu ya Marafiki Wadogo

Picha
alt text

Nilihisi hofu kujaribu chakula kipya, hivyo nilisali. Ninajua Baba wa Mbinguni alinisaidia niwe jasiri kukijaribu.

Olivia C., umri miaka 4, Tennessee, Marekani

Picha
alt text

Ninapenda kwenda kanisani kupokea sakramenti na kuwaona rafiki zangu.

Dylan K., umri miaka 4, Jakarta, Indonesia

Ninajifunza mafundisho ya Yesu;

Yatanisaidia na yatanionesha njia.

Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 160