Rafiki
Ujasiri wa Nefi
Januari 2024


“Ujasiri wa Nefi,” Rafiki, Jan. 2024, 13.

Ninaweza Kupiga Wimbo Huu!

Ujasiri wa Nefi

Kwa shauku [robo noti] = 96–114

1. Bwana alimwamuru Nefi aende na kuchukua mabamba

Kutoka kwa Labani mwovu ndani ya kuta za mji.

Lamani na Lemueli waliogopa kujaribu.

Nefi alikuwa jasiri. Hili ndilo jibu lake:

Kibwagizo: “Nitaenda; nitatenda vitu alivyoamuru Bwana.

Najua Bwana hutoa njia; Ananitaka nitii.

Nitaenda; nitatenda vitu alivyoamuru Bwana.

Najua Bwana hutoa njia; Ananitaka nitii.”

Picha
PDF ya Muziki