Rafiki
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kusoma Maandiko
Januari 2024


“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kusoma Maandiko,” Rafiki, Jan. 2023, 44–45.

Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kusoma Maandiko

Picha
Alt text

Kielelezo na Deb Johnson

Ysu alituambia tusome maandiko.

Picha
alt text

Japokuwa mimi ni mdogo, ninaweza kujifunza kutoka kwenye maandiko!

Picha
alt text

Ninaposikiliza, ninaweza kujifunza jinsi ya kuwa kama Yesu Kristo.

Picha
alt text

Maandiko ni kwa ajili ya kila mtu!

Wakati wa Shughuli

Picha
alt text

Msaidie Nefi na familia yake wavuke bahari ili wafike nchi ya ahadi. Ni ipi hadithi yako pendwa kutoka kwenye maandiko?