2018
Je, Urejesho una Maana Gani Kwangu
April 2018


Je, Urejesho una Maana Gani Kwangu

Picha
what the restoration means to me

Urejesho wa Kanisa ulianza wakati Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo walipomtembelea Joseph Smith mnamo 1820. Baada ya hapo, mambo mengine ya muhimu yalitokea kurudisha tena Kanisa la Yesu Kristo duniani. Soma kadi hizi, zikate, zigundishe kwenye karatasi, na cheza mchezo wa kuoanisha.