Misaada ya Kujifunza
TJS, Warumi 13


TJS, Warumi 13:6–7. Linganisha na Warumi 13:6–7

Wale wanaoheshimu mamlaka za serikali wanafanya heshima yao kubwa na iliyo kamilika zaidi kwa Mungu.

6 Kwa sababu hii lipeni matoleo yenu kwao; kwani wao ni watumishi wa Mungu, wakiendelea kuhudumia katika huduma hii hii.

7 Lakini kwanza, toa kwa wote kulingana na desturi, mtu wa kodi, kodi, mtu wa ushuru, ushuru, ili matoleo yenu yaweze kutolewa kwa woga wa yeye anayeogofya, na kwa heshima ya yeye ambaye anastahili heshima.