Misaada ya Kujifunza
TJS, 1 Mambo ya Nyakati 21


TJS, 1 Mambo ya Nyakati 21:15. Linganisha na 1 Mambo ya Nyakati 21:15

Mungu anamzuia malaika asiangamize Yerusalemu.

15 Na Mungu alimtuma malaika kwenda Yerusalemu kuiangamiza. Na malaika akaunyoosha mkono wake kwa Yerusalemu kuiangamiza; na Mungu akamwambia malaika, uzuie sasa mkono wako, inatosha; kwani alipokuwa anauangamiza, Bwana aliwaona Waisraeli, kwamba walikuwa wametubu uovu wao; kwa hiyo Bwana alimzuia malaika ambaye alikuwa anaangamiza, alipokuwa amesimama karibu na sakafu ya kupuria ya Arauna, Myebusi.