Misaada ya Kujifunza
TJS, Wakolosai 2


TJS, Wakolosai 2:21–22. Linganisha na Wakolosai 2:20–23

Amri za binadamu zinaweza kuwa na manufaa katika kufundisha mambo kama kujiheshimu, bali hazimheshimu Mungu wala kumwokoa binadamu.

21 Ambao wanafuata mafundisho na amri za binadamu, wanao wafundisha kuto kugusa, kuto kuonja, kuto shika, vitu hivyo vyote ambavyo vinachakaa baada ya kutumika?

22 Vitu ambavyo kwa hakika vinaonesha hekima katika kuabudu mapenzi, na unyenyekevu, na kutojali mwili ili kuuridhisha mwili, sio katika heshima kwa Mungu.