Kuwaimarisha Waumini Wapya
Pokea Baraka ya Patriaki


“Pokea Baraka ya Patriaki,” Njia Yangu ya Agano (2020)

“Pokea Baraka ya Patriaki,” Njia Yangu ya Agano

Picha
msichana akisoma

Pokea Baraka ya Patriaki

Baraka ya patriaki ni baraka maalumu. Inakupa mwelekeo wa binafsi na ahadi kulingana na uaminifu wako kwa Bwana. Unapohisi kwamba wakati ni sawa, unaweza kupokea baraka yako ya patriaki.

  • Jifunze kuhusu baraka za patriaki. Fikiria kutumia:

    • Mada za Injili, “Baraka za Patriaki,” topics.ChurchofJesusChrist.org.

  • Fikiria juu ya kupokea baraka yako ya patriaki sasa au katika siku zijazo. Ikiwa unahisi kuwa wakati ni sawa, weka miadi na askofu kuanza mchakato.