Kuwaimarisha Waumini Wapya
Shinda Kuvunjika Moyo na Vikwazo


“Shinda Kuvunjika Moyo na Vikwazo,” Njia Yangu ya Agano (2020)

“Shinda Kuvunjika Moyo na Vikwazo,” Njia Yangu ya Agano

Picha
watu wakizungumza

Shinda Kuvunjika Moyo na Vikwazo

Maisha yanaweza kuwa magumu, na ni kawaida kukata tamaa, kufanya makosa, na kuwa na maswali. Unapomtegemea Bwana, utaweza kushinda shida zako na kupata amani na furaha.

  • Jifunze kuhusu baraka na nguvu zinazotokana na kuishi injili ya Yesu Kristo. Jadili na muumini juu ya kile anachofanya ili kuwa imara katika injili wakati mambo yanapokuwa magumu. Fikiria kutumia:

  • Jadili mahali pa kwenda kupokea majibu ya maswali yako na msaada wakati wa dhiki. Fikiria baadhi ya chaguzi hizi: kusoma maandiko, kuzungumza na waumini au askofu, ukitumia nyenzo kwenye ChurchofJesusChrist.org, na, muhimu zaidi, kumuuliza Mungu katika sala.