Kuwaimarisha Waumini Wapya
Jifunze kuhusu Ukuhani wa Melkizedeki


“Jifunze kuhusu Ukuhani wa Melkizedeki,” Njia Yangu ya Agano (2020)

“Jifunze kuhusu Ukuhani wa Melkizedeki,” Njia Yangu ya Agano

Picha
wanaume wakiongea

Jifunze kuhusu Ukuhani wa Melkizedeki

Kupitia Ukuhani wa Melkizedeki, waumini wote wa Kanisa wanaweza kumkaribia Mungu kwa kupokea ibada za ukuhani.

Ibada hizi zinakuruhusu kufanya maagano matakatifu na Mungu. Wakati wanaume na wanawake hutenda chini ya uelekezi wa nguvu ya Ukuhani wa Melkizedeki kwenye huduma yao ya Kanisa, wanaume watu wazima wastahiki hutawazwa katika Ukuhani wa Melkizedeki na hufanya ibada za ukuhani.

  • Jifunze kuhusu Ukuhani wa Melkizedeki na jinsi waumini wote wanavyobarikiwa kwa ukuhani huo. Fikiria kutumia:

    • What Does It Mean to Be Ordained to the Priesthood?” katika Families and Temples, 5–6.

  • Ikiwa wewe ni mwanaume mtu mzima, zungumza na askofu au katibu wake mtendaji kuandaa usaili ili kujiandaa au kupokea Ukuhani wa Melkizedeki.

  • Wale wenye Ukuhani wa Melkizedeki wanaweza kutoa baraka za faraja na kuweza kuwabariki wagonjwa. Ikiwa unaumwa au unahitaji faraja na unataka kupokea baraka, omba baraka kutoka kwa mwanaume anayeshikilia Ukuhani wa Melkizedeki unayehisi u karibu naye.