Kuwaimarisha Waumini Wapya
Kuwa Mwenye Kujitegemea


“Kuwa Mwenye Kujitegemea,” Njia Yangu ya Agano (2020)

“Kuwa Mwenye Kujitegemea,” Njia Yangu ya Agano

Picha
familia ikitengeneza mlo wa usiku

Kuwa Mwenye Kujitegemea

Kuweza kukidhi mahitaji yako mwenyewe ya kiroho na kimwili huitwa kujitegemea. Ikiwa unahangaika katika kujitegemea, Kanisa hutoa nyenzo za kusaidia. Hii hujumuisha kozi za kusimamia fedha, kuanzisha na kukuza biashara na kupata elimu bora au kazi, na uvumilivu wa kihisia. Kila kozi inajumuisha msingi wa kiroho.