Kuwaimarisha Waumini Wapya
Jifunze kuhusu Muungano wa Usaidizi


“Jifunze kuhusu Muungano wa Usaidizi,” Njia Yangu ya Agano (2021)

“Jifunze kuhusu Muungano wa Usaidizi,” Njia yangu ya Agano

Picha
kikundi cha wasichana wakitabasamu

Jifunze kuhusu Muungano wa Usaidizi

Muungano wa Usaidizi ni muungano wa akina dada na wanawake wote wa umri wa miaka 18 na zaidi. Muungano wa Usaidizi una lengo la kuwaandaa watoto wa Mungu kurejea katika uwepo Wake na kuwahudumia wale walio katika shida. Wanawake wa kikundi hiki wanafuata kauli mbiu “Hisani kamwe haishindwi” (1 Wakorintho 13:8).

  • Jifunze kuhusu umuhimu wa Muungano wa Usaidizi. Fikiria kutumia:

    • “Relief Society: Purpose and Organization,” Kitabu cha Maelezo ya Jumla: Kuhudumu katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho, 9.1.1-9.1

  • Kutana na mshiriki wa urais wa Muungano wa Usaidizi na mjadili jinsi unavyoweza kuhusishwa katika kutoa huduma.