Kuwaimarisha Waumini Wapya
Jifunze kuhusu Msingi—Kuwahudumia Watoto


“Jifunze kuhusu Msingi—Kuwahudumia Watoto,” Njia yangu ya Agano (2021)

“Jifunze kuhusu Msingi—Kuwahudumia Watoto,” Njia Yangu ya Agano

Picha
watoto wamekaa darasani

Jifunze kuhusu Msingi—Kuwahudumia Watoto

Msingi huwasaidia watoto wa umri wa miezi 18 hadi miaka 11 kujifunza kuhusu Baba wa Mbinguni, Mwanawe Yesu Kristo, na mpango Wao wa furaha. Katika Msingi, watoto hujifunza kuhusu upendo wa Mungu kwao na jinsi gani watahisi upendo Wake wanapofanya maagano kupitia ubatizo, sakramenti na ibada za hekaluni. Wanafundishwa hayo kupitia muziki, michezo rahisi na shughuli nyinginezo. Watoto wanafundishwa na wanasaidiwa na walimu watu wazima na viongozi ambao wanawapenda na kuwajali.

  • Jifunze kuhusu jinsi gani watoto katika Kanisa wanaimarishana wao kwa wao katika kuwa zaidi kama Kristo. Fikiria kutumia:

  • Kama wewe ni wa umri wa Msingi, panga kukutana na rais wa Msingi na mwalimu wako wa darasa.

  • Kama wewe siyo wa umri wa msingi , panga na urais wa Msingi ili kuwepo wakati wa kuimba wakati wa huduma za Kanisa siku ya Jumapili.