Misaada ya Kujifunza
TJS, Mathayo 11


TJS, Mathayo 11:13–15. Linganisha na Mathayo 11:10–11, 13–14

Yohana Mbatizaji ni Eliasi ambaye atakuja kutayarisha njia kwa ajili ya Mwokozi.

13 Bali siku zinakuja, wakati wafanyao vurugu hawatakuwa na nguvu; kwani manabii wote na sheria walitabiri kwamba itakuwa hivyo mpaka wakati wa Yohana.

14 Ndiyo, kadiri wengi waliotabiri wameeleza mapema kuhusu siku hizi.

15 Na kama mtawaamini, hakika, alikuwa Elias, ambaye alikuwa aje na kutayarisha mambo yote.