Misaada ya Kujifunza
16. Gereza la Carthage


16. Gereza la Carthage

Picha
picha 16

Jengo la gereza katika mji wa Carthage, Illinois.

Matukio muhimu: Joseph Smith na Kaka yake Hyrum walikwenda Carthage 24 Juni 1844. Walitupwa ndani ya gereza hili mnamo 25 Juni kwa mashtaka ya uongo ya uhaini. Mnamo 27 Juni kundi la wanaume wahuni wakiwa wamejipaka rangi nyeusi usoni lilivamia gereza hili. Joseph na Hyrum walipigwa risasi hadi kufa, na John Taylor alijeruhiwa mara kadhaa. Willard Richards hakujeruhiwa.