Misaada ya Kujifunza
Maelezo ya Jumla


Maelezo ya Jumla

Ramani ya hapo chini inaonyesha eneo la picha hizo katika sehemu hii. Katika kurasa zifuatazo, kila picha iliyopewa namba inafuatiwa na maelezo mafupi ya mandhari. Matukio muhimu ya kimaandiko kutoka sehemu hiyo yameorodheshwa, pamoja na marejeo ya maandiko ili kwamba wewe uweze kujua wapi usome zaidi juu ya matukio hayo.

  1. Kijisitu Kitakatifu

  2. Kilima Kumora na Eneo la Palmyra-Manchester

  3. Nyumba ya Magogo ya Joseph Smith Mkubwa

  4. Mtambo wa Kupiga Chapa wa Grandin na Duka la Uchapaji

  5. Mto Susquehanna

  6. Eneo la Nyumba ya Peter Whitmer Mkubwa

  7. Duka la Newel K. Whitney na Wenzake

  8. Nyumba ya John Johnson

  9. Hekalu la Kirtland

  10. Adamu-ondi-Amani

  11. Kiwanja cha Hekalu cha Far West

  12. Gereza la Liberty

  13. Nyumba ya Ghorofa katika Nauvoo

  14. Duka la Matofali Mekundu la Joseph Smith Mdogo

  15. Hekalu la Nauvoo

  16. Gereza la Carthage

  17. Kutoka kwenda Magharibi

  18. Hekalu la Salt Lake

Picha
ramani yenye maelezo ya jumla

Kask.

New York

Pennsylvania

Ohio

Illinois

Missouri

1

2

3

4

5

6

7

8

9

10

11

12

13

14

15

16

17

18