2020
Wazo Zuri
Aprili 2020


Wazo Zuri

Picha
Bright Idea

Wewe ni mtoto mpendwa wa Mungu, unayejulikana Kwake na unayependwa Naye. Mungu alimjua Joseph Smith. Hilo pia ni kweli kwako. Mungu anakujua.

Mzee Dale G. Renlund wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili

Imetoholewa kutoka “Baraka ya Urejesho kwa ajili Yako,” Liahona, Feb. 2020, 52.

Kielelezo na Apryl Stott