Misaada ya Kujifunza
TJS, Yohana 6


TJS, Yohana 6:44. Linganisha na Yohana 6:44

Mapenzi ya Baba ni kwamba wote wampokee Yesu. Wale wafanyao mapenzi ya Yesu watainuliwa katika ufufuo wa wenye haki.

44 Hakuna mtu anayeweza kuja kwangu, ila yule anayefanya mapenzi ya Baba yangu aliyenituma. Na haya ni mapenzi ya ule aliyenituma, kwamba mumpokee Mwana, kwani Baba anatoa taarifa yake; na yule anayepokea ushuhuda, na anafanya mapenzi ya yeye aliyenituma, nitamwinua katika ufufuo wa wenye haki.