Misaada ya Kujifunza
6. Kuhama kwa Kanisa Kuelekea Magharibi


6. Kuhama kwa Kanisa Kuelekea Magharibi

Picha
ramani ya historia ya Kanisa 6

Kask.

Canada

New York

Himaya ya Oregon

Himaya Wahindi Wakendu

Fayette

Mji wa New York

Mto Snake

Fort Hall

Fort Bridger

Mto Platte wa Kaskazini

Bahari ya Pasifiki

Fort Laramie

Winter Quarters

Iowa

Pennsylvania

4 Februari 1846 Kuanza kwa msafara wa meli ya Brooklyn

Council Bluffs

Illinois

Indiana

Kirtland

San Francisco

Njia ya California

Great Salt Lake

Jiji la Salt Lake

Mto Platte wa Kusini

Nauvoo

Philadelphia

Fort Leavenworth

Far West

Ohio

Jiji la Washington

Bahari ya Atlantiki

Sacramento

Quincy

Liberty

California

Mexico

Pueblo

Mto Arkansas

Independence

Kuwasili kwa meli ya Brooklyn katika Yerba Buena (San Francisco) 31 Julai 1846

Los Angeles

Missouri

Santa Fe

Mto Canadian

Himaya Wahindi Wakendu

San Bernardino

Misioni ya San Luis Rey

Mto Gila

Rio Grande

Mto Pecos

San Diego

Tucson

Ufunguo

Njia ya Kikosi cha jeshi la Mormoni

Njia ya Watakatifu kuelekea magharibi

Njia ya meli ya Brooklyn

Kilomita

0 150 300 450 600

A B C D E F G H

1 2 3 4

1

2

3

4

5

6

7

8

9

10

11

12

13

14

15

  1. Fayette Nabii Joseph Smith aliondoka Fayette kwenda Kirtland, Ohio, katika Januari 1831. Matawi matatu ya New York (Fayette, Colesville na Manchester) yalifuatia katika Aprili na Mei 1831 chini ya amri ya Bwana ya kukusanyika (ona M&M 37–38).

  2. Kirtland Makao makuu ya Kanisa kimsingi yalikuwa Kirtland tangu mwaka 1831 hadi 1838.

  3. Independence Bwana aliitambulisha Independence (katika Wilaya ya Jackson, Missouri) kama kitovu cha Sayuni katika Julai 1831 (ona M&M 57:3). Makundi ya wahuni waliwalazimisha Watakatifu kuihama Wilaya ya Jackson katika Novemba 1833.

  4. Liberty Watakatifu wa kutoka Wilaya ya Jackson walikusanyika katika Wilaya ya Clay kuanzia 1833 hadi 1836, wakati walipotakiwa tena kuondoka. Nabii Joseph Smith na wengine watano walifungwa bila haki gerezani hapa toka Desemba 1838 hadi Aprili 1839.

  5. Far West Kimbilio lilianzishwa hapa kwa ajili ya Watakatifu mwaka 1836–1838. Yalikuwa makao makuu ya Kanisa katika mwaka 1838. Katika mwaka 1838–1839 Watakatifu walilazimika kuikimbia Illinois.

  6. Nauvoo Makao makuu ya Kanisa mwaka 1839–1846. Baada ya mauaji ya kishahidi ya Nabii na kaka yake Hyrum, Watakatifu walihamia magharibi.

  7. Council Bluffs Mapayonia waliwasili hapa Juni 1846. Washirika wa Kikosi cha Jeshi la Mormoni waliondoka 21 Julai 1846, chini ya uongozi wa James Allen.

  8. Winter Quarters Makazi muhimu ya muda 1846–1848. Kikosi cha mstari wa mbele chini ya maelekezo ya Rais Brigham Young kiliondoka kwa safari ya kwenda Magharibi Aprili 1847.

  9. Fort Leavenworth Kikosi cha jeshi la Mormoni kilipewa mavazi na silaha hapa kabla ya kuanza msafara wa magharibi katika Agosti 1846.

  10. Santa Fe Philip Cooke aliongoza Kikosi cha Jeshi la Mormoni kilipoondoka hapa 19 Oktoba 1846.

  11. Pueblo Vikosi vitatu vya wagonjwa vya Jeshi la Mormoni waliamriwa kubaki Pueblo ili kurudisha nguvu, mahali ambapo walikaa majira ya baridi ya mwaka 1846–1847 pamoja na Watakatifu wa kutoka Mississippi. Makundi haya ya watu yaliingia katika Bonde la Salt Lake Julai 1847.

  12. San Diego Kikosi cha jeshi la Mormoni kilimaliza safari yake ya kilomita 3200 (maili 2000) hapa mnamo 29 Januari 1847.

  13. Los Angeles Kikosi cha Jeshi la Mormoni kiliachiliwa hapa 16 Julai 1847.

  14. Sacramento Baadhi ya washiriki wa kikosi cha jeshi la Mormoni walifanya kazi hapa na kwenye kiwanda cha mbao cha Sutter mashariki ya Mto Marekani. Walikuwepo hapa wakati dhahabu ilipogundulika Januari 1848.

  15. Jiji la Salt Lake Makao makuu ya Kanisa tangu 1847 hadi leo. Brigham Young aliwasili katika Bonde la Salt Lake 24 Julai 1847.