Misaada ya Kujifunza
Utangulizi


Ramani za Historia ya Kanisa

Ramani zifuatazo zinaweza kukusaidia kuelewa vyema historia ya mwanzoni ya Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho na maandiko yaliyofunuliwa kupitia kwa Nabii Joseph Smith na warithi wake. Kwa kujua jiografia ya nchi zilizozungumzwa katika maandiko hayo, unaweza kuelewa vyema matukio ya kimaandiko matakatifu.