Misaada ya Kujifunza
1. Kaskazinimashariki mwa Marekani


1. Kaskazinimashariki mwa Marekani

ramani ya historia ya Kanisa 1

Kask.

Canada

Marekani

Vermont

Mto Connecticut

Maine

Tunbridge

Sharon

Ziwa Ontario

Norwich

Lebanon

New Hampshire

Gilsum

Palmyra

Fayette

Whitingham

Manchester

Albany

New York

Topsfield

Salem

Viziwa Finger

Boston

South Bainbridge

Colesville

Massachusetts

Harmony

Connecticut

Rhode Island

Pennsylvania

Mto Hudson

New Jersey

Mji wa New York

Bahari ya Atlantiki

Mto Susquehanna

Mto Delaware

Philadelphia

Kilomita

0 50 100 150 200

A B C D

1 2 3 4

1

2

3

4

5

6

7

8

9

  1. Topsfield Mahali alipozaliwa Joseph Smith Mkubwa, alizaliwa Julai 12, 1771.

  2. Gilsum Lucy Mack alizaliwa hapa, Julai 8, 1775.

  3. Tunbridge Joseph Smith Mkubwa, na Lucy Mack walioana hapa, Januari 24, 1796.

  4. Whitingham Mahali alipozaliwa Brigham Young, alizaliwa Juni 1, 1801.

  5. Harmony Emma Hale alizaliwa katika Eneo la Mji wa Harmony, Julai 10, 1804.

  6. Sharon Joseph Smith Mdogo, alizaliwa hapa, Desemba 23, 1805 (ona JS—H 1:3).

  7. Lebanon Familia ya Smith iliishi katika Eneo la Mji wa Lebanoni tangu 1811 hadi 1813, wakati ambao Joseph Smith Mdogo, alipopata mfululizo wa matukio ya upasuaji wa mguu.

  8. Norwich Familia ya Smith iliishi hapa tangu mwaka 1814–1816 kabla ya kuhamia Palmyra.

  9. Palmyra Familia ya Smith ilihamia hapa katika mwaka 1816 (ona JS—H 1:3).