Misaada ya Kujifunza
Faharasa ya Ramani za Historia ya Kanisa


Faharasa ya Ramani za Historia ya Kanisa

Faharasa ya ramani inaweza kukusaidia kupata mahali husika kwenye ramani. Kila kipengele hutoa namba ya ramani ikifuatiwa na mpangilio wa mistari inayoundwa na muunganiko wa herufi na namba. Kwa mfano, ilipo Fort Hall imetolewa kama 6:B1—ambayo ni, ramani ya 6, mraba B1. Unaweza ukaona miraba maalumu katika kila ramani kwa kutazama vipimo kwenye ramani na pembeni ya ramani. Majina mbadala ya mahali yameorodheshwa katika mabano; kwa mfano Council Bluffs (Kanesville).