Maandiko
Picha


Picha

Mchoro

Bwana Yesu Kristo

Mchoraji ni Heinrich Hoffman

Mchoro

Nabii Joseph Smith

Mchoraji ni Alvin Gittins

Ona “Ushuhuda wa Nabii Joseph Smith,” kurasa za ⅹⅰ–ⅹⅳ

Mchoro

Lehi agundua Liahona

Mchoraji ni Arnold Friberg

Ona 1 Nefi 16, kurasa za 40–44

Mchoro

Lehi na watu wake wanawasili katika nchi ya ahadi

Mchoraji ni Arnold Friberg

Ona 1 Nefi 18, kurasa za 50–52

Mchoro

Alma anabatiza katika Maji ya Mormoni

Mchoraji ni Arnold Friberg

Ona Mosia 18, kurasa za 219–222

Mchoro

Samweli Mlamani atoa unabii

Mchoraji ni Arnold Friberg

Ona Helamani 16, kurasa za 501–503

Mchoro

Yesu Kristo anazuru bara za Marekani

Mchoraji ni John Scott

Ona 3 Nefi 11, kurasa za 529–533

Mchoro

Moroni anazika kumbukumbu ya Wanefi

Mchoraji ni Tom Lovell

Ona Mormoni 8, kurasa 594–598