Januari 2025 Mzee Patrick KearonHabari Njema kwa ajili Yako na kwa UlimwenguInjili ya urejesho ya Yesu Kristo ni habari njema ya upendo na shangwe katika siku yetu—kwa kila mtu. Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2025 Urais Mkuu wa Wasichana na WavulanaMtegemee KristoUrais Mkuu wa Wasichana na Wavulana wanazungumza kuhusu Dhima ya Vijana kwa mwaka 2024, Mtegemee Kristo, inachomaanisha kwao kwao. Eric D.SniderNjia 7 za Kumtegemea KristoJaribu vidokezo hivi saba vya kumwona Mwokozi katika maisha yako. Video ya Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2025Mtegemee YeyeAngalia video ya Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2025. Wimbo wa Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2025Nik DayMtegemee KristoPata mashairi na karatasi ya muziki kwenye wimbo wa Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2025. Bango la Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2025Bango la dhima ya vijana kwa mwaka huu. Njoo, Unifuate: Historia ya Kanisa Matthew C. GodfreyKuleta Maana ya Hadithi za Ono la Kwanza la Joseph SmithGundua kuhusu maelezo manne tofauti juu ya Ono la Kwanza la Joseph Smith na kile yanachoweza kutufundisha. Cade F.Kutafuta Majibu ya Maswali Yangu kuhusu Historia ya KanisaCade F. anashiriki jinsi alivyopata amani juu ya maswali yake kuhusu historia ya Kanisa. David A. EdwardsNabii na Mwokozi WakeKatika njia fulani, masimulizi ya maisha ya Joseph Smith ni masimulizi ya yeye kusonga karibu na Yesu Kristo. Jessica Zoey StrongUrejesho UnaoendeleaKalenda ya matukio ya Kanisa kutoka Ukengeufu Mkuu hadi mwaka 2024. Makala Nyingine Kujenga Nyumba na ShuhudaMsichana mdogo aliye na biashara ya kujenga nyumba ghafla alikabiliwa na uamuzi mkubwa. Kate Stewart na Spencer HaleInafanana Zaidi Kuliko UnavyofikiriaHadithi ya kielelezo ya mvulana anayejifunza kwamba watu wa imani tofauti wana mengi yanayofanana zaidi kuliko alivyofikiria. Ungana na Ivan B. kutoka CroatiaWasifu mfupi na ushuhuda kutoka kwa Ivan B., mvulana kutoka Croatia. Sauti za VijanaIris R.Kuchagua HekaluMsichana lazima aamue kama atahudhuria hekaluni ingawa safari ndefu inaweza kumsababishia kuwa nyuma katika kazi za shule. Sauti za VijanaJoel A.Rafiki Bora wa KweliMvulana ambaye marafiki zake walimgeuka aliamua kufanya kile ambacho Kristo angefanya. Sauti za VijanaPaulina M.Masumbuko Yangu kwa Taswira BinafsiMsichana anayesumbuka kwa taswira ya mwili wake aliamua kupata baraka yake ya kipatriaki. Sehemu ya BurudaniVichekesho vya burudani na shughuli, ikiwa ni pamoja na kutambua tofauti ya fumbo na mzingile. Jessica Zoey StrongKaratasi “Isiyowezekana”Somo la vitendo kuhusu kuwa na imani mbele ya maswali au shaka. Mfuasi wa Kweli wa Yesu KristoPicha yenye mfano wa kuvutia ya Mwokozi, yenye nukuu kutoka kwa Rais Nelson. Maswali na Majibu Maswali na MajibuNi kwa jinsi gani ninaweza kupata ushuhuda imara juu ya Joseph Smith na Urejesho?Majibu ya swali: “Je, Ninawezaje kupata ushuhuda imara juu ya Joseph Smith na Urejesho?” Kwenye HojaJe, utimilifu wa injili ni nini?Jibu la swali hili: “Je, utimilifu wa injili ni nini?”