Sehemu ya Burudani
Rejesha Tofauti
Yesu Kristo alirejesha Kanisa Lake kupitia Nabii Joseph Smith.
Picha upande wa kushoto ni picha ya “kweli”. Saidia “kurejesha” picha ya kulia kwenye toleo la asili kwa kuwekea alama vitu 10 ambavyo vimepotea, vimeongezwa, au kubadilishwa.
Mzingile wa Funguo za Ukuhani
Rais Russell M. Nelson hivi karibuni alifundisha kuhusu umuhimu wa funguo za ukuhani.
Kwa ajili ya mzingile huu, una funguo mbili ambazo kila moja itakusaidia kupita mlango mmoja uliofungwa. Ikiwa utaweza kuanzia mwanzo hadi mwisho ukitumia ufunguo mmoja tu, jipongeze na jiite mwenye akili sana. Ikiwa utaweza kwa kutumia funguo zote mbili—vyema, bado umefanya vizuri.
Muda wa Chemsha bongo
Kwa uwezo wa Mungu, Joseph Smith alitafsiri Kitabu cha Mormoni katika lugha ya Kiingereza kutoka kwenye lugha isiyojulikana.
Chemsha bongo hii inaweza kuonekana kama lugha isiyojulikana, lakini usijali—haiko hivyo. Amua tu ni ipi iliyo tofauti na nyingine. Rahisi, si ndiyo? Labda. Labda.
Vichekesho
Sawa, Kijana wangu—kama unapanga kuwa daktari, huwezi kuzimia kwa kuona damu.
Ryan Stoker
Je, unaweza kutafsiri hili? Sizungumzi picha.
Val Chadwick Bagley
Majibu
Rejesha Tofauti: 1. Nywele nyeusi 2. Mstari wa chini wa kiuno 3. Kukosa karatasi 4. Hakuna mkato wa umbo la v katika mkunjo wa koti la Joseph kifuani upande wa kulia 5. Kukosekana kwa mkato wa umbo la v upande wa kushoto katika koti la Joseph 6. Sehemu iliyokosekana ya kola 7. Sehemu iliyokosekana ya tai 8. Mkunjo mdogo wa mkono wa shati 9. Sikio lililofunikwa 10. Kukosekana kwa mkunjo katika bega
Mzingile wa Funguo za Ukuhani:
Muda wa Chemsha Bongo: C.