Misaada ya Kujifunza
TJS, 1 Timotheo 6


TJS, 1 Timotheo 6:15–16. Linganisha na 1 Timotheo 6:15–16

Wale ambao wana nuru ya hali ya kutokufa (injili) ikiishi ndani yao wanaweza kumwona Yesu.

15 Ambako yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye aliyebarikiwa na Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana, ambaye kwake heshima na uwezo una yeye hata milele;

16 Ambaye hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona, kwake hapana mwanadamu awezaye kukaribia, ni yeye pekee aliye na nuru na tumaini la mwili usiokufa ukikaa ndani yake.