Misaada ya Kujifunza
TJS, 1 Yohana 3


TJS, 1 Yohana 3:9. Linganisha na 1 Yohana 3:9

Yeyote anayezaliwa kwa Mungu haendelei katika dhambi.

9 Yeyote anayezaliwa kwa Mungu haendelei katika dhambi; kwa maana Roho wa Mungu hubaki ndani yake; naye hawezi kuendelea katika dhambi, kwa sababu amezaliwa kwa Mungu, akiwa amempokea Roho yule wa ahadi aliye mtakatifu.