Misaada ya Kujifunza
TJS, 1 Yohana 2


TJS, 1 Yohana 2:1. Linganisha na 1 Yohana 2:1

Kristo ni mtetezi wetu kwa Baba kama sisi tunatubu.

1 Watoto wangu wadogo, ninakuandikieni mambo haya, ili kwamba msitende dhambi. Lakini kama mtu yeyote akitenda dhambi na kutubu, tunaye mtetezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki;