Misaada ya Kujifunza
TJS, 1 Wakorintho 15


TJS, 1 Wakorintho 15:40. Linganisha na 1 Wakorintho 15:40

Kuna madaraja matatu ya utukufu katika Ufufuko.

40 Pia kuna miili ya kiselestia, na miili ya kiterestria, na miili ya kitelestia; lakini utukufu wa kiselestia ni utukufu mmoja; na kiterestria ni mwingine; na wa kitelestia ni mwingine.