Vijana
Muhtasari


“Muhtasari,” Kusimamia Teknolojia (2025)

“Muhtasari,” Kusimamia Teknolojia

Muhtasari

wanawake wawili wakitabasamu wakati wakitumia teknolojia

Dhumuni—Ninaweza kutumia teknolojia kwa dhumuni. Teknolojia hainidhibiti mimi.

“Mimi, Bwana, nina kazi kubwa ya kufanywa na wewe” (Mafundisho na Maagano 112:6).

Panga—Ninapopanga mapema, ninajisikia vizuri zaidi na kufanya chaguzi bora zaidi.

“Maisha haya ndiyo wakati wa watu kujitayarisha kukutana na Mungu” (Alma 34:32).

Tulia—Ni SAWA kwangu kutulia na kuchukua mapumziko.

“Tulieni na jueni kuwa Mimi ni Mungu.” (Mafundisho na Maagano 101:16).

Dhumuni, Panga, Tulia

Dhumuni

Panga

Tulia

Ninaweza kutumia teknolojia kwa dhumuni. Teknolojia hainitawali mimi.

Ninapopanga mapema, ninajisikia vizuri zaidi na kufanya chaguzi bora zaidi.

Ni SAWA kwangu kutulia na kuchukua mapumziko.

Maswali ya Kufikiria

Dhumuni

Panga

Tulia

  • Kwa nini ninatumia teknolojia hivi sasa?

  • Je, ninajisikia vizuri kuhusu kile ninachokifanya?

  • Je, nitatumia teknolojia kwa muda gani?

  • Mpango wangu wa kutumia teknolojia ni upi?

  • Ni ishara gani ninayoionyesha kwa Mungu kwa jinsi ninavyotumia muda wangu?

  • Je, ninaepuka maudhui ninayojua si sahihi au yenye kusudi?

  • Je, ninamhisi Roho Mtakatifu akiondoka?

Mapendekezo ya Vitendo

Dhumuni

Panga

Tulia

  • Tuma ujumbe chanya kwa mtu mwingine.

  • Sikiliza muziki ambao unakusaidia ujisikie mwenye amani.

  • Tengeneza maudhui yako mwenyewe.

  • Kwa kukusudia tumia teknolojia kujifunza.

  • Ninajipa ukomo mimi mwenyewe kila siku wa muda wa kuangalia skrini.

  • Wewe “wafuate” na wasiliana na wanafamilia na marafiki wa karibu pekee.

  • Kuwa na maeneo nyumbani ambapo vifaa vya kielektroniki havitumiki.

  • Tenga sehemu ya familia ya kuchaji vifaa vya kielektroniki.

  • Tumia kichujio.

  • Weka kifaa chini na ondoka.

  • Sali kwa ajili ya nguvu.

  • Zungumza na mtu mwingine.