“Kipengele cha 6: Hitimisho—Kuelezea Shughuli Maalum,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kipengele cha 6,” EnglishConnect 2 kwa ajili ya Wanafunzi
Unit 6: Conclusion
Describing Special Occasions
Hongera! Umemaliza EnglishConnect 2. Sasa unaweza unaweza kuongea na mzungumzaji wa Kiingereza kuhusu mada mbali mbali. Siku zote endelea kujifunza. Tumia unachojifunza kuboresha maisha yako na maisha ya wengine Kadiriunavyoendelea kujifunza kwa kusoma na kwa imani, Bwan atakubariki.
Evaluate
Evaluate Your Progress
Chukua muda utafakari na kusherehekea yote ambayo wewe umetimiza.
I can:
-
Describe future events.
Elezea matukio ya siku za usoni.
-
Describe past events.
Elezea matukio yaliyopita.
-
Describe my future goals.
Elezea malengo yako ya siku za usoni.
Ili kufuatilia maendeleo yako zaidi, nenda kwenye englishconnect.org/assessments na ukamilishe upimaji wa hiyari kwa ajili ya kipengele hiki.
Evaluate Your Efforts
Pitia tena juhudi zako kwa ajili ya kipengele hiki katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.” Je, unafanya maendeleo kuelekea kwenye dhumuni lako? Unaweza kufanya nini tofauti ili kufikia malengo yako?
Endelea kufanya mazoezi ya Kiingereza kila siku unapojiandaa kwa ajili ya EnglishConnect 3.
Ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi EnglishConnect inavyoweza kupanua fursa zako, tembelea englishconnect.org.